Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia chochote kile ambacho umeskia kwenye matangazo yetu au yale yanayoendelea hapo uliopo.
Juma hili waskilizaji wetu walikuwa na maoni mseto kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa duniani.
Kufahamu mengi skiza makala haya.