Tunajadili visa vya watu kutekwa nyara kuendelea kuripotiwa katika ya mataifa yetu ya Africa hivi karibuni visa kama hivi vikiripoti kwa wingi nchini Kenya, vyombo vya usalama vikituhumiwa kwa utekaji huo.
Je nchini mwako kuna visa kama hivyo ? ndio baadhi ya maswali tumeuuliza karibu
Haya hapa baadhi ya maoni yako.