Katika makala haya tunajadili uwezekano wa vikosi vya MONUSCO nchini DRC kusalia kwa muda kwenye taifa hilo, kutokana na ripoti za uwepo wa wanajeshi wa Rwanda wanaowasaidia waasi wa M23.
Tumeuliza wewe unaunga mkono vikosi vya MONUSCO kusalia DRC?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.