Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote ile kuhusiana na taarifa zetu au kile kinachoendelea pale ulipo.
Juma hili waskilizaji walikuwa na kauli hii.