Nchini DRC, mashirika ya kutetea haki za binadamu yakitaka serikali kuboresha mazingira ili kuepuka vifo na ukiukwaji wa haki za wafungwa,mwaka uliopita, vifo zaidi ya 500 vilirekodiwa katika gereza kuu la makala nchini DRC.