Serikali ya Kenya inaendesha uchuguzi kuhusiana na madai ya baadhi ya wafanyakazi wake kumiliki vyeti ghushi, walivyotumia kupata ajira.
Unafaikiri mtu anapaswa kuajiriwa kutokana na vyeti vyake au ujuzi wa kazi ?
Nchini mwako ajira hutolewa vipi ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.