Search

Home > Habari RFI-Ki > Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.

Category: News & Politics
Duration: 00:09:57
Publish Date: 2024-03-26 16:00:02
Description:

Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.

Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.

Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?

Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7