Marekani imetangaza usitishwaji vita wa saa 72, uliokubaliwa na pande zinazopigana mashariki mwa DRC.Ukumbuke kuwa Novemba mwaka jana makubaliano mengine ya kusitisha mapigano yalipitishwa kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa FARDC.Wasikilizaji wetu wanawaza nini kuhusu usitishaji wa vita hivi punde,je utadumu? Hebu sikiliza