Search

Home > Habari RFI-Ki > Marekani yatangaza usitishwaji vita wa saa 72 kati ya waasi wa M23 na jeshi la FARDC nchini DRC
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Marekani yatangaza usitishwaji vita wa saa 72 kati ya waasi wa M23 na jeshi la FARDC nchini DRC

Category: News & Politics
Duration: 00:09:49
Publish Date: 2023-12-13 16:30:03
Description:

Marekani imetangaza usitishwaji vita wa saa 72, uliokubaliwa na pande zinazopigana mashariki mwa DRC.Ukumbuke kuwa Novemba mwaka jana makubaliano mengine ya kusitisha mapigano yalipitishwa kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa FARDC.Wasikilizaji wetu wanawaza nini kuhusu usitishaji wa vita hivi punde,je  utadumu? Hebu sikiliza 

Total Play: 2

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7