Mapigano yameendelea kuripotiwa kati ya jeshi la Mali, wapiganaji wa Tuareg na makundi mengine ya waasi kaskazini mwa taifa hilo wakati huu vikosi vya UN vinapoendelea kuondoka katika eneo hilo.
Unadhani kuondoka kwa vikosi hivyo kumechangia kuongezeka kwa mapigano?