Katika makala haya tunajadili hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha
Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.