Mfalme wa Uingereza yko nchini Kenya wakati huu masharika ya kiraia yakitaka aombe msamaha kwa vitendo vya kikoloni nchini Kenya vilivyotekelezwa na nchi yake.
Je unadhani hili ni sawa ?
Skiza baadhi ya maoni yako.