Kweny makala haya tunajadili hatua ya Wizara ya afya nchini Uganda kusema raia wake zaidi ya milioni 1.2 wamezama kwenye unywaji wa pombe kupita kiasi, hili likitia serikali wasiwasi.
Serikali zetu zinaweza kufanya nini kudhibiti unywaji wa pombe kupita kiasi ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.