Nchi ambazo ni makazi ya misitu mikuu mitatu ya mvua duniani mwishoni mwa wiki iliyopita, zilibaliana kushirikiana ili kumaliza ukataji miti na kulinda bayoanuwai lakini zikashindwa kufikia makubaliano dhabiti ya kulinda udhibiti wa kaboni.
Katika mahaya haya tumekuuliza iwapo unadhani wakati umewadia nchi zetu kuchukuwa hatua kuzia ukataji wa miti.
Haya hapa baadhi ya maoni yako.