Search

Home > Habari RFI-Ki > DRC yaitaka Monusco kuondoka mwishoni mwa mwaka huu wa 2023
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

DRC yaitaka Monusco kuondoka mwishoni mwa mwaka huu wa 2023

Category: News & Politics
Duration: 00:10:09
Publish Date: 2023-10-18 15:57:49
Description:

Mamlaka ya DRC imeiomba tume ya Umoja wa Mataifa MONUSCO kuwaondoa wanajeshi wake elfu kumi na nne kabla ya mwisho wa mwaka huu. Kwa upande wake katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres yeyé anaamini kuwa hali nchini DRC inazidi kuzorota. Tumekuuliza unadhani ni wakati mwafaka kwa MONUSCO kuondoka nchini DRC?
Jeshi la Congo FARDC linaweza kurejesha usalama na amani nchini humo? Kukuletea makala hii naitwa Ruben Lukumbuka

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7