Search

Home > Habari RFI-Ki > Maoni ya waskilizaji kuhusu mzozo mpya baina ya Israel na Palestina
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maoni ya waskilizaji kuhusu mzozo mpya baina ya Israel na Palestina

Category: News & Politics
Duration: 00:10:01
Publish Date: 2023-10-09 14:41:18
Description:

Mapigano yanaendelea kati ya wapiganaji wa Hamas na wanajeshi wa Israel, baada ya kundi la Palestina, kufanya mashambulio ya kushtukiza dhidi ya Israel kutoka Gaza, katika ongezeko kubwa la mzozo kati ya Israel na Palestina.

Unazungumziaje mzozo huu?

Unadhani jumuiya ya kimataifa imeshindwa kuzisaidia pande hizo mbili kupata suluhu?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7