Nchini DRC muungano wa kisiasa wa chama tawala Sacred Union umemteua rais Felix Tshisekedi , kuwania tena kiti cha urais kwenye uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo atapambana tena na mpinzani Martin Fayulu, Moise Katumbi na mshindi wa tunzo ya mani ya Nobele daktari Denis Mukwege miongoni mwa wagombea wengine.
Unazungumziaje hatua Denis Mukwege kuwania Urais.
Je unafikiri DRC imejitarisha vilivyo kwa uchaguzi huu ?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.