Search

Home > Habari RFI-Ki > Utawala wa kijeshi nchini Mali, Niger na Burkina Faso wasaini mkataba wa kushirikiana kijeshi,
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Utawala wa kijeshi nchini Mali, Niger na Burkina Faso wasaini mkataba wa kushirikiana kijeshi,

Category: News & Politics
Duration: 00:10:08
Publish Date: 2023-09-18 16:56:03
Description:

Utawala wa kijeshi nchini Mali, Niger na Burkina Faso umesaini mkataba wa ushirikiano wa kijeshi, mataifa haya yakiahidi kufanya kazi kwa pamoja kuzuia uvamizi wowote kutoka nje.Na kwenye makala yetu utaskia maoni tofauti tofauti ya iwapo hatua hii ya kushirikiana kijeshi kati ya mataifa haya inaweza zuia tishio la kijeshi kutoka nje na iwapo mpango huo utafanikisha vita dhidi ya makundi ya kijihadi.

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7