Jumuiya ya Afrika mashariki imeamua kuongeza mda wa jeshi la EAC mashariki mwa DRC hadi Disemba.
Mei mwaka jana Rais Felix Tchisekedi alikosoa vikali jeshi hili lakikanda kwa kutokua na ufanisi katika kupambana na waasi wa M23.Kwenye makala haya utaskia maoni tofauti ya wasikilizaji kuhusiana na swala hili.