Mwishoni mwa juma Gabon ilifanya uchaguzi na kutangaza matokeo yake siku ya jumatano kabla tuu ya mapinduzi kufanyika na yaliyomuondoa Ali Bongo madarakani.Na tumemuuliiza msikilizaji nini maoni yake kuhusiana na mapinduzi hayo ya kijeshi.