Search

Home > Habari RFI-Ki > Kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin azikwa
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin azikwa

Category: News & Politics
Duration: 00:09:59
Publish Date: 2023-08-29 15:46:04
Description:

Tunaangazia Kifo cha kiongozi wa Wagner Yevgeny Prigozhin kutokana na ajali ya ndege ambacho kimezua maswali mengi likiwemo suala la ulipizaji kisasi kutoka kwa rais wa Urusi Vladmir Putin miezi miwili tu baada ya uasi wa muda mfupi.

Tumemuuliza msikilizaji ikiwa anafikiri kifo chake kilikuwa ajali ya kawaida ama uhalifu ?

Kifo chake kinaathiri vipi shughuli za Wagner barani Afrika ?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7