Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud na serikali yake wameimarisha vita vikali dhidi ya kundi hilo ambalo kwa muda sasa limekuwa likitekeleza mashambulio katika baadhi ya maeneo kwenye taifa hilo pamoja na nchi jirani.