Mwishoni mwa juma lililopita, dunia iliadhimisha siku ya kimataifa ya vijana, maadhimisho yaliofanyika wakati huu idadi kubwa ya vijana katika nchi za Afrika wakisalia bila ajira.
Unafikiri nchi za Ukanda wa Afrika zifanye nini kuongeza nafasi za ajira kwa vijana? Bonyeza sauti ili usikilize maoni ya wasikilizaji.