Kongamano kati ya Urusi na nchi za Afrika limeanza wakati huu Moscow ikizituhumu nchi za Magharibi haswa Marekani kwa hujuma kwa kushinikiza nchi za Afrika kutohudhuria.
Rais wa Urusi Vladmir Putin hii leo amewapokea viongozi hao katika mji wa Saint Petersburg.