Rais wa Kenya, William Ruto alisisitiza Afrika kuwa na useme kwenye taasisi za kifedha za kimataifa pamoja na kutaka masharti ya ulipaji madeni kuangaziwa upya.
Tumekuuliza msikilizaji, Unaamini nchi za Magharibi zinatumia madeni kuzinyonya nchi za Afrika?
Mataifa ya Afrika yafanye nini kuepuka madeni