Nchini Zimbabwe vyama vya upinzani vinatatizwa kufanya kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao wakati chama tawala kikiendelea na kampeni, polisi wakidai ni kutokana na vyama vya kukosa kutoa ilani ya kufanya mikutano ya hadhara kwa wakati, hivyo wanalazimika kuvizuia.
Haya hapa baadhi ya maoni yako