Search

Home > Habari RFI-Ki > Upinzani wateta nchini Zimbabwe
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Upinzani wateta nchini Zimbabwe

Category: News & Politics
Duration: 00:09:58
Publish Date: 2023-07-13 03:00:03
Description:

Nchini Zimbabwe vyama vya upinzani vinatatizwa kufanya kampeni kuelekea uchaguzi wa mwezi ujao wakati chama tawala kikiendelea na kampeni, polisi wakidai ni kutokana na vyama vya kukosa kutoa ilani ya kufanya mikutano ya hadhara kwa wakati, hivyo wanalazimika kuvizuia.

Tumeuliza iwapo unahisi demokrasia ya Zimbabwe ipo hatarini na hili linatoa taaswira gani kwa mataifa ya Africa.

Haya hapa baadhi ya maoni yako

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7