Umoja wa mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu kuenea kwa mataifa jirani kwa vita vinavyoendelea nchini Sudan, umoja huo ukisema kuna haja ya hatua za dharura kuchukuliwa ili kunusuru hali nchini Sudan.
Haya hapa maono yako kuhusu hali nchini Sudan.