Rais Macky Sally kinyume na matarajio ya wengi ,ametangaza hatowania urais kwenye uchaguzi ujao .Katiba ya Senegal inamruhusu rais kuongoza kwa mihula miwili