Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu iwapo ni muda wa kuondoa vikosi vya kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia,MONUSCO
Serikali ya Kinshasa imependekeza MONUSCO kuondolewa baada ya uchaguzi wa Disemba