Wapiganaji wa Al-Shabaab hivi karibuni wameongeza mashambulio, ambapo tukio la hivi punde likiwa nchini Kenya mnamo Juni 25 ambapo watu tano waliuawa, lengo likiwa ni kuishinikiza Nairobi kuwaondoa wanajeshi wake nchini Somalia.
Wewe unadhani nini kumesukuma kuendelea kwa mashambulio haya?
Nchini mwako kunashuhudiwa hali kama hii ya mashambulio ya kigaidi?