Search

Home > Habari RFI-Ki > Je, nini kimechangia kuongezeka kwa makundi ya kigaidi barani Afrika?
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Je, nini kimechangia kuongezeka kwa makundi ya kigaidi barani Afrika?

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2023-06-28 11:27:32
Description:

Wapiganaji wa Al-Shabaab hivi karibuni wameongeza mashambulio, ambapo tukio la hivi punde likiwa nchini Kenya mnamo Juni 25 ambapo watu tano waliuawa, lengo likiwa ni kuishinikiza Nairobi kuwaondoa wanajeshi wake nchini Somalia.

Wewe unadhani nini kumesukuma kuendelea kwa mashambulio haya?

Nchini mwako kunashuhudiwa hali kama hii ya mashambulio ya kigaidi?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7