Ujumbe wa viongozi wa Afrika umesema umepata mafanikio makubwa katika juhudi zao za kupatanisha Urusi na Ukraine baada ya ziara yao katika mataifa hayo mawili.
Unadhani viongozi wa Afrika wanamchango upi kumaliza vita vya Urusi na Ukraine?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.