Umoja wa Mataifa umeonya kuendelea kuenea kwa ujumbe wa chuki kwenye mitandao ya kijamii.
Katibu mkuu wa UN, António Guterres anataka hatua stahiki kuchukuliwa kudhibiti usambazaji wa ujumbe wa chuki na uchochezi.
Tumeuliza nini kifanyike kumaliza semi za chuki kwenye mitandao ya kijamii?
Haya hapa baadhi ya maoni yako.