Search

Home > Habari RFI-Ki > Maoni ya waskilizaji kuhusu kukamatwa kwa wapinzani kuelekea uchaguzi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maoni ya waskilizaji kuhusu kukamatwa kwa wapinzani kuelekea uchaguzi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2023-06-15 13:43:11
Description:

leo tunazungumzia kuhusu Hatua ya kukamatwa kwa mshauri wa mwanasiasa wa upinzani nchini DRC Moise Katumbi Salomon Idi Kalonda kumeibua mjadala kuhusu namna vyombo vya usalama na sheria vinatumika kisiasa kujaribu kuwanyamazisha wapinzani.

Kilochotokea nchini DRC kimeshuhudiwa Senegal, Guinea na hata Uganda wakati mmoja.

Unadhani ni njama za serikali zilizoko madarakani kubana wapinzani?
Matukio kama haya yanashuhudiwa nchini mwako?

Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7