Viongozi wa ukanda wa IGAD wamepanga kuwakutanisha mahisimu wawili wa kijeshi nchini Sudan Abdel Fattah al Burhani na mwenzake Mohammed Dagalo ana kwa ana ilikumaliza mapigano yanayoendelea.
Unadhani hili litafanikiwa?
Unaamini mashirika ya kikanda kama IGAD yanaweza kumaliza vita nchini Sudan?