Kuna ongezeko kubwa la makundi yenye silaha katika mataifa ya Afrika
Makundi yenye silaha yanatuhumiwa kuchangia kuzorota usalama katika mataifa yenye mizozo.Je ni sahihi kuyashirikisha kwenye mazungumzo ya amani ? Na mbinu ya kuyamaliza?