Haki ya raia kuishi kwenye makazi bora imeendelea kuwa changamoto kwa mataifa ya Afrika
Shirika la umoja la mataifa kuhusu makazi ,UN Habitat limeandaa mkutano mkubwa jijini Nairobi wakati huu
kukiendelea kushuhudiwa ongezeko la mitaa ya mabanda katika nchi za Afrika.