Search

Home > Habari RFI-Ki > Marais wa Africa kuelekea Urusi na Ukraine
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Marais wa Africa kuelekea Urusi na Ukraine

Category: News & Politics
Duration: 00:09:49
Publish Date: 2023-05-19 14:40:29
Description: Ujumbe wa viongozi wa bara Afrika wanaojaribu kuzishawishi nchi za Urusi na Ukraine kumaliza mapigano yanayoendelea unatarajiwa kuzuru Moscow na Kiev kuanzia mwezi ujao.   Taarifa hii imethibitishwa na ofisa wa ngazi ya juu katika  serikali ya Afrika Kusini, nchi ambayo imeonekana kuwa mshirika wa karibu wa rais Putin. Marais  za Zambia, Senegal, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Misri na Afrika Kusini, wanatarajiwa kuongoza juhudi hizo, suala ambalo limekaribishwa na umoja wa mataifa. Nini maoni yako kuhusu hatua hii? skiza makala haya
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7