Search

Home > Habari RFI-Ki > China yakamilisha siku tatu za Mazoezi yanayolenga kuivamia Taiwan
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

China yakamilisha siku tatu za Mazoezi yanayolenga kuivamia Taiwan

Category: News & Politics
Duration: 00:09:56
Publish Date: 2023-04-11 16:14:41
Description: China imefanya mazoezi ya siku tatu ya  kijeshi huku ikikisiwa kuwa na mpango wa  kulenga maeneo muhimu ya Taiwan.Wakati jeshi la China likifanya mazoezi hayo  kuzunguka kisiwa hicho, Marekani iliitaka China kuonyesha kujizuia. Mwishoni mwa juma  maafisa wa ulinzi mjini Taipei waliishutumu Beijing kwa kutumia ziara ya Rais Tsai wa Marekani kama kisingizio cha kufanya mazoezi ya kijeshi, ambayo yamevuruga pakubwa amani, utulivu na usalama katika eneo hilo. Kufuatia swala hili tumewauliuza wasikilizaji iwapo  wanadhani hii itaongeza mvutano kati ya Marekani na China?  na Je, wanaamini kuwa China inaweza kuivamia Taiwan ? na haya yalikua maoni yao.
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7