|
Description:
|
|
Nchini DRC, muswada wa sheria unaotaka mgombea urais wa nchi hiyo awe na uraia wa taifa hilo kwa kuzaliwa na wazazi wote wawili Wakongomani, muswada ambao tayari umeibua hisia baadhi wakiona ni kama unalenga kuwazuia baadhi ya wagombea wanaojipanga kwa uchaguzi wa mwaka ujao.
Unadhani wagombea waliozaliwa na wazazi kutoka nchi tofauti wapewe nafasi kuongoza?
Wadadasi wanahisi kuwa sheria hiyo inamlenga Mosi Katumbi, ambaye analenga kuwania urais na ana ushawishi mkuwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi wa mwaka huu.
Haya hapa baadhi ya maoni yako. |