Search

Home > Habari RFI-Ki > Maandamano yamesitishwa nchini Kenya
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maandamano yamesitishwa nchini Kenya

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2023-04-03 15:47:09
Description: Nchini Kenya, rais William Ruto, ameitisha mazungumzo na upinzani baada ya maandamano ambayo yamesabisha uharibifu mkubwa wa mali. Rais Ruto katika wito wake ameutaka upinzani kusitisha maandamani ili kutoka nafasi ya majadiliano. Katika hatua nyingine, Kiongozi wa upinzani Raila Odinga, amekubali wito wa rais Ruto, nini maoni yako kuhusu hatua hii, haya hapa baadhi ya maoni yako.
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7