Search

Home > Habari RFI-Ki > Ziara ya Kamala Harris barani Afrika
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Ziara ya Kamala Harris barani Afrika

Category: News & Politics
Duration: 00:10:10
Publish Date: 2023-03-29 16:37:56
Description: Kamala Harris yupo ziarani Afrika Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris anatazamiwa kuwasili nchini Tanzania  kutokea nchini Ghana kabla ya kuhitimisha ziara yake barani Afrika nchini Zambia. Ziara yake  yake ikija majuma mawili baada ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron katika ukanda wa Afrika ya Kati.   Unadhani ni kwa nini viongozi wa nchi za Magahribi kwa ghalfa wanazidisha ziara barani Afrika?   Afrika imekuwa yakushindaniwa kati ya magharibi, China na Urusi?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7