Search

Home > Habari RFI-Ki > Maoni ya waskilizaji kuhusu miaka miwili ya uongozi wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Maoni ya waskilizaji kuhusu miaka miwili ya uongozi wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2023-03-20 16:33:52
Description: Ni miaka miwili sasa tangu rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, achuukue uongozi wa taifa hilo. Katika kipindi cha miaka hiyo tayari amefanya mageuzi makubwa ya kisiasa na kiuchumi kiasi cha kuvutia viongozi wa Afrika. Unazungumziaje miaka miwili ya rais Samia madarakani? Unaamini ameleta mabadiliko yaliotarajiwa na raia? Ni kipi unaweza kusifia katika utawala wake?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7