Search

Home > Habari RFI-Ki > Kinara wa upinzani nchini Kenya Odinga aitisha maandamano jumatatu marchi 20
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Kinara wa upinzani nchini Kenya Odinga aitisha maandamano jumatatu marchi 20

Category: News & Politics
Duration: 00:10:00
Publish Date: 2023-03-16 16:50:39
Description: Nchini Kenya kinara wa upinzani Raila Odinga, ameitisha maandamano kuishinikiza serikali ya rais William Ruto kulishughulikia swala la mfumuko wa bei linaonekana kuwa mzigo kwa raia wa Kenya. Unadhani hatua hii ya upinzani itasaidia kulishugulikia swala la mfumuko wa bei? Hapo kwenu serikali inafanya nini kutatua swala la mfumuko wa bei? Nchini Kenya kinara wa upinzani Raila Odinga, ameitisha maandamano kuishinikiza serikali ya rais William Ruto kulishughulikia swala la mfumuko wa bei linaonekana kuwa mzigo kwa raia wa Kenya. Unadhani hatua hii ya upinzani itasaidia kulishugulikia swala la mfumuko wa bei? Hapo kwenu serikali inafanya nini kutatua swala la mfumuko wa bei?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7