Search

Home > Habari RFI-Ki > Rais wa Namibia amteua mwanamke kugombea mwakani
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Rais wa Namibia amteua mwanamke kugombea mwakani

Category: News & Politics
Duration: 00:10:02
Publish Date: 2023-03-14 16:22:24
Description: Jumamosi iliyopita Rais wa Namibia Hage Geingob, alimtaja Netumbo Nandi-Ndaitwah kuwa mgombea wa chama tawala SWAPO katika uchaguzi mkuu wa mwakani. Ikiwa ataungwa mkono na kuchaguliwa atakuwa mwanamke wa tatu kuongoza nchi baada ya rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na Tanzania Samia Suluhu Hassan. Nini maoni yako kwa hatua hii? Unafikiri muda umefika kuendelea kutoa nafasi kwa wanawake kuongoza?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7