Search

Home > Habari RFI-Ki > Viongozi wa upinzani kutumia gharama ya maisha kujitafutia umaarufu
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Viongozi wa upinzani kutumia gharama ya maisha kujitafutia umaarufu

Category: News & Politics
Duration: 00:09:53
Publish Date: 2023-02-27 16:00:54
Description: Vyama kadhaa vya upinzani barani Afrika sasa vinatumia kupanda kwa gharama ya maisha kama mtaji wao wa kisiasa dhidi ya vyama tawala. Mfano ni nchini Kenya ambapo kiongozi wa upinzani Raila Odinga, ametoa makataa ya siku 14 kwa serikali kupunguza bei ya bidhaa , la sivyo ataongoza maandamano dhidi ya serikali. Nini mtazamo wako kuhusu hatua hii? Unadhani njia hii itafanikiwa?  Haya hapa baadhi ya maoni yako.
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7