Search

Home > Habari RFI-Ki > Hatuwa ya chuo kikuu cha methodist nchini Kenya kuhusu mavazi ya wanafunzi wa chuo
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

Hatuwa ya chuo kikuu cha methodist nchini Kenya kuhusu mavazi ya wanafunzi wa chuo

Category: News & Politics
Duration: 00:10:02
Publish Date: 2023-01-10 15:40:21
Description: Kumeibuka hisia mseto au (Mitazamo tofauti) nchini Kenya, kuhusu Chuo Cha Methodist ambacho sasa kinawataka wanawake kutovaa nguo za kubana au zile zinazoonyesha sehemu za mwili.  Tuambie, unadhani hatua hii ni sahihi hasa kwa wanafunzi wa chuo ambao ni watu wa zima ? Ni haki kuhoji watu kuhusu uhuru wa mavazi?  Hapo kwenu hali iko je?
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7