Search

Home > Habari RFI-Ki > DRC yazindua sera mpya kuhusu ulinzi
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

DRC yazindua sera mpya kuhusu ulinzi

Category: News & Politics
Duration: 00:10:05
Publish Date: 2022-12-29 16:08:55
Description: Serikali ya DRC imezindua sera mpya ya ulinzi inayopendekeza kuwa vijana wote nchini humo wapate mafunzo ya kijeshi na kuundwa kwa jeshi la akiba hatua inayolenga kupamabana na makundi ya watu wenye silaha Mashariki ya taifa hilo. Tumekuliza wewe Msikilizaji wetu: Nini maoni yako kuhusiana na hatua hii? Unafikiri itasaidia kwa hatua gani kupambana na utovu wa usalama mashariki ya DRC? Leo Utakuwa nami Hillary Ingati
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7