Search

Home > Habari RFI-Ki > HABARI RAFIKI 22.12.2022 KUHUSU MATUKIO YA WATU KUTOLEWA VIUNGO VYA MWILI
Podcast: Habari RFI-Ki
Episode:

HABARI RAFIKI 22.12.2022 KUHUSU MATUKIO YA WATU KUTOLEWA VIUNGO VYA MWILI

Category: News & Politics
Duration: 00:10:16
Publish Date: 2022-12-22 16:21:16
Description: Nchini Kenya, watu wasiojulikana walimtoa macho mtoto wa miaka mitatu kwa kisa kilichohusishwa na ushirikina. Matukio kama haya pia yameripotiwa katika baadhi ya mataifa Afrika, wahusika wakidaiwa kufanya hivyo kama njia moja ya kutafuta utajiri. Tumetaka kujuwa kwako iwapo Hapo kwenu matukio kama haya hutokea?   Baadhi wamehusisha visa hivi na utajiri, unadhani ni kweli?   Naitwa Hillary Ingati
Total Play: 0

Some more Podcasts by France Médias Monde

100+ Episodes
Cap Océan I .. 10+     3
100+ Episodes
Kida da Al'a .. 10+    
60+ Episodes
300+ Episodes
Une semaine .. 10+     10+
50+ Episodes
Imprensa 2    
100+ Episodes
700+ Episodes
500+ Episodes
Eco d'ici Ec .. 8     7